help, how to limit the bandwidth of another computer in a wireless network

Skillseeker

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
225
Reaction score
34
Habari za leo wanaJF,
Ningependa kupewa somo ni jinsi gani ninaweza kuzuia au kulimit bandwidth ya computer moja au zaidi ya moja zilizoko kwenye wireless network ili niweze kubana matumizi..
naomba mnitajie software zitakazoweza kufanya hii kitu. Na ningependa kujua jinsi gani naweza kufanya hii kitu kutoka kwenye computer yangu na siyo nianze kuzungukia hizi computer nyingine ili niziset..

Natanguliza shukrani
 
Mkuu download na kuisoma barabala manual ya Cyberoam CR25ia Firewall Device.Kwenye OS yake ina hiyo kitu.
 
Unatumia network device za aina gani kwa mfano router/gateway ni cisco,cyberoam,Juniper etc?
 
SonicWall-content filtering, internet monitoring, time management of internet usage etc.
READ MORE ABOUT IT .NIULIZE ZAID KWA MORE INFO
 
natumia router ya beetel ( beetel 450TC1 ADSL2+Router)
Ok.mi sijawahi tumia router ya aina hiyo ila naamini kuna sehemu kwa user unapocreate hakuna field ya kulimit amount ya download(surfing quota)?Angalia vizuri setting zake au kama unaweza tuma screen short ukiwa umelogin kwenye hiyo router ili tuone ina features zipi.
NB:Si router zote zina uwezo wa kulimit user band width.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…