Kuna idm kama alivosema mtazamaji but kuna ways nyengine kama hizi
online video downloader
Paste link yako hapo juu then itadownload hio video kawaida
Another way kuna website inaitwa file2hd.com hii kazi yake ni kujua mafile yote yanayopatikana kwenye page, pia unaweza kupaste link na kupata real link
Mfano kama ni flash video itaishia na .flv na kama ni flash game itaishiwa na .swf
I hope itasaidia