guys about a week now!! Napata head phone icon kwa display ya 4n kama nimechomeka headphone wakati sijachomeka!! And de problem ni kuwa siwezi kuongea mpaka kwenye loudspeeker!! Anyone can solve this

Nimetry kila kitu still bado!! Na sina tabia ya kutumia earphone sasa i wonder hivi vichuma vinapata vipi damage!! Thax kwa advise kaka itabidi nipeleke tu kwa mafundi