kama umefanikiwa kuimaster c++ naomba nikupongeze kwan hyo ndo inaaminika kuwa powerful na difficult language to learn. kinachofata hapo ni kuelewa syntax ya vbasic ambayo ni rahis na human friendly. nenda website ya microsoft ile msdn library
MSDN hapo kuna mifano mingi na community ya developers kibao ambao wapo kutoa msaada na kuna article nyingi sana, pia usisahau kuchukua copy yako ya visual studio 10 au 2012