Wadau nisaidieni ! naweza kuhack machine ndani ya network yangu kwakutumia Armitage na kupata nachokitaka ... lakini siwezi kutoka njee (nashindwa kuhack machine za nje ya network niliyopo ) natumia ubuntu 12.4 .
THIS IS FOR EDUCATION PURPOSE ONLY :flame: