okay kama umeshindwa kabisa angalia alternative hizi
Kwanza: unaweza kudownload application ya youtube ya symbian kwa ajili ya nokia utaipata ovi store au hata store ya opera ipo na website mbalimbali
Pili: unaweza kwenda
Vuclip web video search hawa jamaa wameruhusiwa na youtube kueka video zote za youtube katika mobile format yaani (3gp) so kama kuna video ya youtube unaitaka utaikuta pia humu
Tatu: unaweza kudownload hio video yako ya youtube kwa kubadilisha url yaani url ya youtube inaanza hivi
http://m.youtube.co............
We change iwe
http://ssyotube.co.........
I hope itasaidia