Mkuu karibu sana! ila jina lako limenishtua kidogo....nitafurahi sana nitakapoona unapost mada za kujenga nchi yetu na si maswala
ya udini hapa jamvini. Hapa jamvini kuna waislaam,wakristo na wasio na dini (mfn.Kiranga) Lakini wote tumeweka dini zetu pembeni
na tunamwaga mahoja kwa kwenda mbele. Karibu sana mkuu,ila jina lako ndiyo limenishtua