Karibu lady black jamvini, naitwa Katavi ndio mpokea mizigo ya wageni,,,,,,,,,wakati unasubiri kinywaji nenda kule Chit Chat ukachangamshwe na akina Mamndenyi.