.
Hata mimi hapo kale nilijifariji sana kwa kuendekeza fikra design hii, Zilinicost sure i tell, nikagundua isije kuwa nina tatizo la Delusions of Grandeur, ambalo linatufanya tujihisi as being much greater and more powerful and influential than the really we are… then i ask mysely, if i'm so calliper in delivering messages, can i use this karama to raise my economical situations, thats where i start thinking louder much deeper resulting to something better today..
GT in an empty pocket is illusions, unajua mara nyingi kweli inauma lakini lazima tuelezane tu kweli za maisha hata kama inauma but i hope utajikita kuwaza zaidi na mwisho wa saa utaibuka na kitu nzuri tu ambayo itakuwa na manufaa kwako na familia unayowaza kuianza.