Helo frend

karibu, but b keafuli sana
 
karibu, but b keafuli sana
 
Ahsanteni sana rafiki zangu mimi nipo zenji vp nyie wenzangu?
 
Karibu sana Jf. Tegemea kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwangu.
 
...kumbe uko zanzberi...karibu amiiii...mie niko daslamu!
 
Karibu mkuu jisikie upo home! Ila siorahisi mtu kukwambia yupo wapi,ila wote ni wa Tz,usijali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…