tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,399
- 4,732
Angekuwa Dikteta asingempigia simu Mwana FA kupongeza wimbo wa dume suruali, acha hao na ma helmet yao, sisi na kina shilawadu tu si lazima tuwe kama waoWakati wenzetu wakifanya hayo wa kwetu kaamua kuwa dikteta
Wewe utakuwa na tatizo... Umeipitia hiyo slide kwenye YouTube?Acheni kuwehuka nyie...
Jamaa kajitungia tu habari, amekuta documentary youtube....
Hizo helmet hazina uhusiano na gharama hiyo.....
Na bado 2025 tutaomba mabadiliko ya katiba aongoze kwa muhula mwingine. Mpaka myooke kabisaWakati wenzetu wakifanya hayo wa kwetu kaamua kuwa dikteta
Ungesema huku kwetu badala ya wabunge kuongelea tanzania kutengeza hizo helmet wanaongelea ɓunge kuonyeshwa live hivi liƙionƴeshwa live hizo helmet zitakuwa zimetengenezwa?Wakati wenzetu wakifanya hayo wa kwetu kaamua kuwa dikteta
Kwani bunge ni kazi yao kutengeneza helmet?Ungesema huku kwetu badala ya wabunge kuongelea tanzania kutengeza hizo helmet wanaongelea ɓunge kuonyeshwa live hivi liƙionƴeshwa live hizo helmet zitakuwa zimetengenezwa?
Ndio madikteta walivyo lakini mwisho wao unakuwaga mbayaNa bado 2025 tutaomba mabadiliko ya katiba aongoze kwa muhula mwingine. Mpaka myooke kabisa
Mafisadi huwa wana Mwisho mbaya. Tazama LowassaNdio madikteta walivyo lakini mwisho wao unakuwaga mbaya
Kwenye hiyo youtube wamesema $400,000/= jamaa ndo akaziweka kwa hizi zetu za madafu. Wewe unasema hazina gharama hizo. Hakukuwa na haja ya kusema amejitungia story. Wewe kama hupendezwi unakaa tu kimya. Na sio kumponda mwenzako.Acheni kuwehuka nyie...
Jamaa kajitungia tu habari, amekuta documentary youtube....
Hizo helmet hazina uhusiano na gharama hiyo.....
Madikteta kama idd amini,gadaff,bokassa na mobutu ni mfano mzuri kwa mtakatifuMafisadi huwa wana Mwisho mbaya. Tazama Lowassa
Mobutu alikuwa fisadi. Mfano mzuri kabisa kwa LowassaMadikteta kama idd amini,gadaff,bokassa na mobutu ni mfano mzuri kwa mtakatifu
Na ndio dikteta mwenyewe alikuwa na tabia ya kununua vivuko feki kama mv bagamoyo na kuwapa hawara zake nyumba za serikaliMobutu alikuwa fisadi. Mfano mzuri kabisa kwa Lowassa
Mnaficha vyeti.. Na kutekana!Wakati wenzetu wakifanya hayo wa kwetu kaamua kuwa dikteta
Hii ina uhusiano na hili Jukwaa la Siasa au ndio kule kupost ili kuonekana unajua vitu!!!utoto utoto!!!