Karibu sana Mkuu. Ila huku jitahidi Uwe unaandika vema. Kuna mama wa lugha maarufu kama FF, mwenye msemo wake maarufu "Huko shule mlienda kujifunza ujinga?" Kisha anakuachia tusi , 'Punguani Wahed'.
Kwa hiyo ujitahidi kuandika vema kabla hajakukuta. Mfano wa makosa katika andishi lako ni;
Tushirikiano = tushirikiane
Hatuwa = hatua.
Kwa hiyo kuwa makini maana hana hata huruma kwa wageni.
Baada ya hayo, karibu sana JF. The home of Great Thinkers.