M maite dan Senior Member Mar 18, 2016 145 90 Mar 19, 2016 #1 Naitwa maite dan, natokea chalinze. Naombeni mnipokee wanajamii forum.Asanteni
T Tate Shebughe JF-Expert Member Jan 4, 2016 324 264 Mar 19, 2016 #4 Karibu sana! Bila shaka umetuletea na mananasi.
M maite dan Senior Member Mar 18, 2016 145 90 Mar 19, 2016 Thread starter #7 Asanteni sana kwa ukaribisho wenu.
M maite dan Senior Member Mar 18, 2016 145 90 Mar 20, 2016 Thread starter #11 Welcome dogo Weee nitake radhi haraka
M maite dan Senior Member Mar 18, 2016 145 90 Mar 20, 2016 Thread starter #14 Karibu sana! Bila shaka umetuletea na mananasi. Haswaaaa, wwe tu
M maite dan Senior Member Mar 18, 2016 145 90 Mar 20, 2016 Thread starter #15 [QUOTE="jogi, post: Umekuja na nini. GUESS
Abra One JF-Expert Member Jun 11, 2013 916 374 Mar 20, 2016 #16 maite dan said: [QUOTE="jogi, post: Umekuja na nini. GUESS Click to expand... Leo tuuu umeanza ukorofi??
maite dan said: [QUOTE="jogi, post: Umekuja na nini. GUESS Click to expand... Leo tuuu umeanza ukorofi??
Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 30,765 12,680 Mar 21, 2016 #17 karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT................
M maite dan Senior Member Mar 18, 2016 145 90 Mar 21, 2016 Thread starter #18 Sante sana, ila iyo ya mjukuu wenu toa kwanza
Swahili AI JF-Expert Member Mar 2, 2016 7,791 75,610 Mar 28, 2016 #19 Karibu. Usisahau kubeba machungwa Halafu uzee mwisho kwenu. Welcome