Hellow nipo Morogoro Any single lady nicheki ...

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
3,109
Reaction score
4,604
Nipo huu mji mzuri wa Moro natafuta rafiki wa kike tufahamiane!! ukiwa free nicheki inbox (PM). Be happy
 
Unahitaji kuombewa, unadhan humu ni facebook
 
tumia hela kama wataka wa chapchap
Hapana Mkuu!! huwa sina tabia hiyo ya kuchukua wa kujiuza ningekua nataka hao ningewatafuta kwenye mitandao kama badoo etc au kwenda kwenye sehemu zao za kujiuza!! nataka descent lady kwa ajili ya kufahamiana tu
 
Kwani hapa umejuaje hawako badoo?
 
Kamata demu yeyote barabarani then umuombe mjuane.....umwambie kuwa upo JF na pia unajuana na wema sepetu.
 
Mkuu nenda misa kwanza hapo Moro kuna makanisa mengi saana. Kisha ndio ulete mada
 
Wanaume eeee, hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume, pamoja na kelele zao za haki sawa bado hakuna usawa so usitegemee mwanamke ajilete PM aseme et Niko Moro hata kama anashida hiyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…