S Skorondinga Member Joined Nov 19, 2018 Posts 20 Reaction score 8 Nov 20, 2018 #1 Habar wana jukwaa mi mgeni jamii forum,napenda kuungana na ndugu zangu kuchangia mawazo maoni mbalimbali pia kujifunza,asanteni
Habar wana jukwaa mi mgeni jamii forum,napenda kuungana na ndugu zangu kuchangia mawazo maoni mbalimbali pia kujifunza,asanteni
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Nov 20, 2018 #2 Umeijuaje JamiiForums? Kipi kimekusukuma kujiunga na JF?
noliega Member Joined Jul 6, 2017 Posts 68 Reaction score 29 Nov 20, 2018 #3 Karbuui Skorondinga said: Habar wana jukwaa mi mgeni jamii forum,napenda kuungana na ndugu zangu kuchangia mawazo maoni mbalimbali pia kujifunza,asanteni Click to expand...
Karbuui Skorondinga said: Habar wana jukwaa mi mgeni jamii forum,napenda kuungana na ndugu zangu kuchangia mawazo maoni mbalimbali pia kujifunza,asanteni Click to expand...
S Skorondinga Member Joined Nov 19, 2018 Posts 20 Reaction score 8 Nov 21, 2018 Thread starter #4 Nimeifahamu kupitia google,nmekuwa napendelea kugoogle mambo ya biashara sasa wananidirect jf,nkisoma huko nakutana na mawazo kuntu mpaka nkashawishika kujoin
Nimeifahamu kupitia google,nmekuwa napendelea kugoogle mambo ya biashara sasa wananidirect jf,nkisoma huko nakutana na mawazo kuntu mpaka nkashawishika kujoin
S Skorondinga Member Joined Nov 19, 2018 Posts 20 Reaction score 8 Nov 21, 2018 Thread starter #5 noliega said: Karbuui Click to expand... Asantee
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,205 Reaction score 829,188 Nov 21, 2018 #6 Skorondinga said: Habar wana jukwaa mi mgeni jamii forum,napenda kuungana na ndugu zangu kuchangia mawazo maoni mbalimbali pia kujifunza,asanteni Click to expand... Karibu sana JF
Skorondinga said: Habar wana jukwaa mi mgeni jamii forum,napenda kuungana na ndugu zangu kuchangia mawazo maoni mbalimbali pia kujifunza,asanteni Click to expand... Karibu sana JF
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Nov 21, 2018 #7 Karibu sana JF
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,838 Nov 21, 2018 #8 karibu sana... ila kumbuka kuzungushia chumvi kifaa unachotumia kupostia... kuna mashetani wengi mno humu..
karibu sana... ila kumbuka kuzungushia chumvi kifaa unachotumia kupostia... kuna mashetani wengi mno humu..
S Skorondinga Member Joined Nov 19, 2018 Posts 20 Reaction score 8 Nov 22, 2018 Thread starter #9 hashycool said: karibu sana... ila kumbuka kuzungushia chumvi kifaa unachotumia kupostia... kuna mashetani wengi mno humu.. Click to expand... Kivipi ndugu yangu cjaelewa
hashycool said: karibu sana... ila kumbuka kuzungushia chumvi kifaa unachotumia kupostia... kuna mashetani wengi mno humu.. Click to expand... Kivipi ndugu yangu cjaelewa
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Nov 23, 2018 #10 karibu sana JF...............