Mh! Asante Valid statement, mependa jinalo
Alooo 🙌Karibu sana kiongozi
Ha ha haaaaaaa, sikumbuki mieAngel Nylon hivi wakati waingia nilikufanyia ukaguzi?
Bumbafu zako 😆 toka 2011Karibu sana JF
Nimechelewa kukukaribisha coz Simu ilikua kwa fundi.
😀😀
😆😆toto la kizenji sheikhKaribu sana JF
Nimechelewa kukukaribisha coz Simu ilikua kwa fundi.
😀😀
Bwashee naona mawardat bado kanichunia tu!😆😆toto la kizenji sheikh
Acha niendelee na subira,Hahahaha komaa bwashee nimapema sana kukata tamaa mangi
Sio vizuri ujue🥲
Chelewa Chelewa utakuta mwana sio wako bwashee 🤣🤣Acha niendelee na subira,
si hua wanasema subira yavuta kheri.
Nimefanya vipi??Sio vizuri ujue🥲