NGOJA mie niwe mkweli tu mwaya, siku hizi nimekuwa mwoga kweli , naogopa sana wageni!..hii tabia imenijia ghafla kuanzia mwezi huu wa 8, maana nimepata wageni wengi hadi kweli, na wengine wamekuja kuniharibia KAYA yangu!
Lakini MasterMind nadhani we ni mgeni mzuri!...Karibu mwaya!
Jiskie nyumbani!