cc Eiyer@mamndenyi@miss chagga@heaven on earth@miss ney@google@mwekundu@himidini@dinazarde@christine ibrahim@lara 1 nawasalia tu jaman nothing new
haha asante kwa salamu...............
Kumbe ni salam!!
cc Eiyer@mamndenyi@miss chagga@heaven on earth@miss ney@google@mwekundu@himidini@dinazarde@christine ibrahim@lara 1 nawasalia tu jaman nothing new
Samahani umekosea kuwatoa au ndo wanatakiwa wawe hivyo
kwani naona kila mmoja ana @ sasa hizi ni kitu gani?
Ukiweka @ bila kuacha nafasi inatokea ID ya huyo mtu
Mfano;- @ utafiti. utafiti
Hiyo ya kwanza nimeacha nafasi na hiyo ya pili sijaacha nafasi between @ na utafiti. Ukifanya hiyo huyo uliemkusudia anapata notification yakua kuna member amemtaja. Ila alichokosea mtoa mada nikutokuwatenganisha baina ya member ndo mana hizo @ zinaonekana. Ushaelewa mama?
kumbe na humu kuna "Shamba darasa?"
kasema ni salam tu
Hapana kuna bustani darasa
Alaa kumbe ! Una maana darasa la kujifunza KUCHUMAMBOGA? Eti eeh ?
how have you been?
Nzuri npe ripot.