A Ally dos santos Member Joined Sep 9, 2013 Posts 9 Reaction score 2 Sep 10, 2013 #1 Natanguliza heshima kubwa mbele ya jukwaa hili makini ambalo nmekuwa nikihaishwa kwa kipindi kirefu sasa na hawa GT wa humu ndani... Thank u.
Natanguliza heshima kubwa mbele ya jukwaa hili makini ambalo nmekuwa nikihaishwa kwa kipindi kirefu sasa na hawa GT wa humu ndani... Thank u.
A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 620 Sep 10, 2013 #2 Karibu jf the home of GT
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,900 Reaction score 28,013 Sep 10, 2013 #3 Wakaribishwa sana...
O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Sep 10, 2013 #4 mimi ndio maneja
A Ally dos santos Member Joined Sep 9, 2013 Posts 9 Reaction score 2 Sep 10, 2013 Thread starter #5 oil sumu said: mimi ndio maneja Click to expand... sawa mkuu.
Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,902 Reaction score 3,984 Sep 10, 2013 #6 karibu sana mkuu, humu kuna Great thinkers wengi ila wengne mmh!
luofe JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 330 Reaction score 143 Sep 10, 2013 #7 oil sumu said: mimi ndio maneja Click to expand... we ukiwa meneja nahama MD nahamia baed!
Y young k Senior Member Joined Aug 18, 2013 Posts 141 Reaction score 16 Sep 10, 2013 #9 Ally dos santos said: Natanguliza heshima kubwa mbele ya jukwaa hili makini ambalo nmekuwa nikihaishwa kwa kipindi kirefu sasa na hawa GT wa humu ndani... Thank u. Click to expand... karibu kijana lakini inatakiwa uzikubali challenge za humu maana kuna watu kazi yao ni kuponda wenzao tu... by the way karibu sana kijana
Ally dos santos said: Natanguliza heshima kubwa mbele ya jukwaa hili makini ambalo nmekuwa nikihaishwa kwa kipindi kirefu sasa na hawa GT wa humu ndani... Thank u. Click to expand... karibu kijana lakini inatakiwa uzikubali challenge za humu maana kuna watu kazi yao ni kuponda wenzao tu... by the way karibu sana kijana
A Ally dos santos Member Joined Sep 9, 2013 Posts 9 Reaction score 2 Sep 10, 2013 Thread starter #10 young k said: karibu kijana lakini inatakiwa uzikubali challenge za humu maana kuna watu kazi yao ni kuponda wenzao tu... by the way karibu sana kijana Click to expand... yaaahhh nimekuwa nkipitia post za watu wengi saana kwa muda mrefu sasa me naamin ni kitu kikubwa ambacho kitanjenga.
young k said: karibu kijana lakini inatakiwa uzikubali challenge za humu maana kuna watu kazi yao ni kuponda wenzao tu... by the way karibu sana kijana Click to expand... yaaahhh nimekuwa nkipitia post za watu wengi saana kwa muda mrefu sasa me naamin ni kitu kikubwa ambacho kitanjenga.
Y Yesar JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 300 Reaction score 17 Sep 10, 2013 #11 Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo
rhyme Member Joined Jun 29, 2013 Posts 22 Reaction score 3 Sep 10, 2013 #12 Yesar said: Napita 2 Click to expand... Next tme ue unavaaa ndal co unapit 2
M mtoto wa kunyumba Senior Member Joined Aug 15, 2013 Posts 114 Reaction score 12 Sep 10, 2013 #13 luofe said: we ukiwa meneja nahama MD nahamia baed! Click to expand... huyu dogo oil sumu boya sana...mimi mkuu nakuunga mkono kama huyu dogo ndo manager mimi narudi kusomea upadre........
luofe said: we ukiwa meneja nahama MD nahamia baed! Click to expand... huyu dogo oil sumu boya sana...mimi mkuu nakuunga mkono kama huyu dogo ndo manager mimi narudi kusomea upadre........
wa watu Member Joined Aug 14, 2013 Posts 81 Reaction score 11 Sep 10, 2013 #14 Ally dos santos said: Natanguliza heshima kubwa mbele ya jukwaa hili makini ambalo nmekuwa nikihaishwa kwa kipindi kirefu sasa na hawa GT wa humu ndani... Thank u. Click to expand... tunategemea mawazo chanya toka kwako naamin yatafaa ili twende tunakokusudia!!!
Ally dos santos said: Natanguliza heshima kubwa mbele ya jukwaa hili makini ambalo nmekuwa nikihaishwa kwa kipindi kirefu sasa na hawa GT wa humu ndani... Thank u. Click to expand... tunategemea mawazo chanya toka kwako naamin yatafaa ili twende tunakokusudia!!!
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Sep 10, 2013 #15 Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... Wewe unanichanganya na watoto hao??
Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... Wewe unanichanganya na watoto hao??
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Sep 10, 2013 #16 Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... ni mpigamsuli na sio mpiamsuli
Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... ni mpigamsuli na sio mpiamsuli
O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Sep 10, 2013 #17 Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... oil sumu never die udsm 4 life
Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... oil sumu never die udsm 4 life
O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Sep 10, 2013 #18 mpigamsuli said: Wewe unanichanganya na watoto hao?? Click to expand... mtoto wewe wa chuo cha shirika mimi na chat5 mwendo wa MUce
mpigamsuli said: Wewe unanichanganya na watoto hao?? Click to expand... mtoto wewe wa chuo cha shirika mimi na chat5 mwendo wa MUce
A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 620 Sep 10, 2013 #19 Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... dogo mie sio allyshabab me ni Al-shabaab Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... dogo mie sio allyshabab me ni Al-shabaab
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 599 Sep 10, 2013 #20 Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... mwenye afadhali ni mmoja tu hapo
Yesar said: Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo Click to expand... mwenye afadhali ni mmoja tu hapo