Bad Spender
Member
- Aug 21, 2013
- 23
- 1
Hivi kwani mapenzi ni utumwa baina ya wawili waliopendana?
Hivi kwani mapenzi ni utumwa baina ya wawili waliopendana?
siyo kabisaaaah! Mapenzi ni raha faraja furaha navyote vinavyohusiana na hivyo! Ukiona unajihisi mtumwa ktk mapenzi kimbia hapo HUJAPENDWA!
jibu ni ndiyo au siyo, chagua moja.
Hivi kwani mapenzi ni utumwa baina ya wawili waliopendana?