Hello

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
14,373
2,000
majungu na habari za udaku kama za shigongo marufuku,usije ukatuletea habari halafu chanzo gazeti la shigongo,uhuru,habari leo,mzalendo,dailynews...humu hayo magazeti tunayaita toilet paper
 

Alkelokas

Senior Member
Dec 12, 2012
195
225
hello wanamjf nashukuru kuingia humu napenda kushirikiana nanyi magreat thinkers!katka kujenga taifa hili hasa kmawazo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom