Nadhani tunakoelekea :ban::ban: itatuita,
Janeth karibu sana uwanjani.
Hahahaaaaaa Madame B yaani baada ya kutuwekea umaarufu wenu wa kuzijua nyumba za kulala wageni ndo umeona umuhimu wa kumkaribisha Da Jane wa Mboya.......haya bana kila la kheri kwenye uvumbuzi mpya wa nyumba za kulala.
mmmh siunajua kunamtu alikimbia mapenzi yangu?nahofu asije akawa karudi kivingine
Sasa unachoogopa ni nini?
M-PM Umuulize.
mmmh siunajua kunamtu alikimbia mapenzi yangu?nahofu asije akawa karudi kivingine
Umeiona ! Mi nimeistukia mgeni haingiagi kiivo! Chale zimen'cheza! Nahisi huyu ndiye yule.
we! Umemsahau charminglady nini si unajua alivyo mkali?anaweza akanikurupua huko PM nikakosa mlango wa kutokea,vip upo wap sasa hivi?
heeeeeeh!!!! hlo ndo babu likaguzi!! halicheleweshi!! taratibu usije ukakagua he!!!!Kabla sijakukaribisha bi Janet pen, waweza kutuambia we ni jinsia ipi? She/he?
Kama ni he na unapenda dental formula yako ibakie ilivyo, na baiolojia yako isihamishiwe usoni basi kaa mbali na wake zangu Yummy, BADILI TABIA na cacico chini ya uangalizi wa Kongosho. Tena usiwasogelee princess enny, ummu kulthum na Madame B. Ila kama wewe ni she.... come this way baby kwa ukaguzi yakinifu.
Sasa hv niko Bar nanyonya mvinyo.
kwa raha zako,upo kiroba cha ngapi? Nije?
Nipo kiroba cha tano.
Njoo 'nakusubiri' kwa 'hamu'
Unaniitia huko chumbani nije kufanya nini?
Sitaki mi ni bado 'anda eitini'
n'takusemea na Kawambwa,me bado nasoma.
ishhh mbona we ni mkubwa na mambo unayajua bararaba sa umekujaje humu kwa mimi sisi huku ni mapenzi na mapishi