Mbunge mmoja akichangia katika hutuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu leo alifikia kusema "kama alivyo sema waziri Benard Membe kuwa watanzania wako tayari kulala na njaa lakini hawapo tayari kujiunga katika ndoa za ushoga; vivyo hivyo na wazanzibari wako tayari kufa lakini huu muungano dhalimu usio na faida kwao hawautaki"
ijapo kua kauli hii imezua tafarani pale bungeni lakini haya yalikua mawazo ya muheshimiwa mbunge,
kilicho nishangaza wabunge hawakumhoji kwanini aliweza kutamka maneno yale, nikweli ametumwa na wazanzibari? hapa ndipo utakapo elewa kua uwezo wa kufikiri bungeni umepungua, JE, KWA HALI HII NI IPI KHATMA YA SERIKALI?