Hello

Wewe umekulia hapo mkuu,? na ile mahakama ya mwanzo hapo Tarafani bado ipo??
 
Wewe umekulia hapo mkuu,? na ile mahakama ya mwanzo hapo Tarafani bado ipo??
Ipo pale pale mkuu .....haijahamishwa.

aaah hapana mkuu sema naifaham kiasi flani mitaa kadhaa ya Mbalizi. na mchanga pia nimeopoa sana kule chini + dili za kubeba tofali kupanga tanuri nk

Tumecheza sana na katimu ka mchanga na mawe fc kule mlimareli uwanjan pale .....na veteran flani ya kina popoz....Ligi za mpira miaka ya mzee wa chalinze.....kipindi nikiwa mvunja kuni kama Kagoma.....πŸ˜ƒ
 
aaah hapana mkuu sema naifaham kiasi flani mitaa kadhaa ya Mbalizi. na mchanga pia nimeopoa sana kule chini + dili za kubeba tofali kupanga tanuri nk
Umenikumbusha dingi mmoja alikuwa anaitwa Mwangosi alikuwa muopoa mchanga, alikuwa na tumbo kubwaa ni kibonge ,alikuwa na uwezo wa kunywa debe la komoni peke yake πŸ˜†.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…