Hello

Halipo tena mkuu.
Nyakati zimebadilika.
Huko DDC, mbalizi II, utengule , ZZK uingie kwa ndani ndani kule kumejengeka balaa....... Bajaji kama zote zinakufikisha kote huko.
Iwindi kule sijarandaranda sana ila nako mji unatanuka kwa haraka sana watu wanajenga sana sijui hela wanapata wapi πŸ˜ƒπŸ™Œ
Mapelele kama kawaida pombe za kienyeji mpaka leo ni mwendo wa kuopoa mchanga chini kule ...baadae baadae kupiga vitu mapelele πŸ˜ƒ

Nakubali mkuu pamoja..
 
Hao ni Boda kaka sisi huwa tumawapeleka hotelini hao wake zenu na wakikuta Bajaj Haina pazia au iko wazi wanalalamika kinoma
Hii ya bajaj kuwa wazi nimeambiwa na madereva bajaj wengi hasa dodoma, wanasema mademu wakiwamo wake zetu wakikuta bajaji haina pazia hawapandi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…