wilirckandrea
Member
- Jun 9, 2018
- 22
- 21
Sawa sawa kutoka mbeya hadi uyole shingapi.,Hello Dereva wa Bajaj hapa
Mbalizi hiyo kitambo sana,(1988-2003)Tarafani kwenda utengule ngapi Boss?
Mimi wa Dar sio MbeyaSawa sawa kutoka mbeya hadi uyole shingapi.,
Mimi nipo MabiboTarafani kwenda utengule ngapi Boss?
Afu tatuDar -Mwanza Bei gani tajiri?
Afu 3
Tandahimba To KumaIkae Vileji Ni Hau Machi...??
Yes SeranHi 👋🏼
Angalia mbele Utagongwa wewe na hio Bajaj yako shauriyakoYes Seran
Narudia tena Utagongwa wewe na hio Bajaj yako angalia mbele huko muone surabayaaKaka ni kosa kuongea na Seran nikigongwa namwambia Vehiko chanzo Cha ajali ni Seran
Oooh! fanya utaratibu tupate bajaji wa jf hapa mbeya!Mimi wa Dar sio Mbeya
Ngoja nifanye hivyoOooh! fanya utaratibu tupate bajaji wa jf hapa mbeya..
Daah basi ngoja nitazame mbeleNarudia tena Utagongwa wewe na hio Bajaj yako angalia mbele huko muone surabayaa