Bianca joseph
Member
- Jan 20, 2015
- 35
- 25
Naitwa Bianca, ni mgeni humu naomba unipokee. Naomba msaada jinsi ya kuweka picha ya wasifu.
Karibu sana Bianca, una jina tamu sana mpaka nimevutiwa na weye.
Usisahau kunitumia picha yako PM , mie mdogo wake na Max Mello so utakua hupigwi BAN hata ukitukana matusi ya nguoni
Ha ha haHahahaha..... Wewe, nikaribishe na mimi basi
Hahahaha..... Wewe, nikaribishe na mimi basi
Achana na huyo! amesha vurugwa kichwa na Bianca. Ngoja mimi nikukaribishe tu mtoto mzuri Nahrene! Kuanzia leo mtu yoyote humu jf akikuchokoza njoo umsemee kwa babu.
Ha ha ha
Na wewe ni mpya??
Hii ni offer ya sikukuu kwa wageni tu
teh teh basi karibu Nahrene ngoja niku-follow kabisaWe mchoyo
unatumia simu au unatumia computer nikupe msaada free kabisa??Asanteni kwa kunikaribisha. Ku apload profile pic ndio tatizo. Sioni sehemu iliyoandikwa username. Kwa anayejua anisaidie
Asanteni kwa kunikaribisha. Ku apload profile pic ndio tatizo. Sioni sehemu iliyoandikwa username. Kwa anayejua anisaidie