BrainOs JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 300 Reaction score 507 Sep 10, 2024 #1 Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,735 Reaction score 24,019 Sep 10, 2024 #2 Simu nayo ni kitu ya kuuliza, we nunua tu