Hello it's me I need you back

Hello it's me I need you back

anakukumbusha mbali sana hila ndio hivyo kila kitabu na mwandishi wake ndio imeshapita tayari


Hila-ila


Kudandia yasiokuhusu Ni shida kwa kweli waweza jikuta kamaa pweza Una miguu mingi halafu kusimama husimami
 
For breaking your heart at least ican say I tried..iam in tabata dreaming about how we used to be when we were young and free.


Acha kuota ndoto za mchana kweupe kumekucha!
 
Naomba mwenye mp3 ya huu wimbo auweke hapa tafadhali
 
Haya bana..Ila yule Jamaa aliyemuumiza adele anastahili pongezi kwa kweli..Mana amefanya sisi tupate burudani murua kutoka kwa huyu dada
Hahha katika kila baya, kuna kitu positive ndani yake. Ndo tumepata lijisong hivi, vipi hujampata wa kumpa lidedication?
 
Hahha katika kila baya, kuna kitu positive ndani yake. Ndo tumepata lijisong hivi, vipi hujampata wa kumpa lidedication?
Teh teh..Hii sijapata..Ila someone like u iliwahi kuhusika
 
Teh teh..haiwezekani aisee..Daddy yako jeuri..Hawezi kufanya vitu kama hivyo..Hata hiyo someone like u siwezi kutuma
Teh I hope hako kaujeuri hujanirithisha maana nikimix na unyaki itakuwa balaa
 
Nipo naisoma hapa alaf nasikia inapigwa clouds
 
Back
Top Bottom