Hello I’m new here

Hello I’m new here

Na kwajinsi anavyo tiririka, quotes, reply, kuifahamu avatar, kulifahumu jukwaa la mmu, kuifahamu pm na mambo zingine kama hizo...
Nalazimika kujiridhisha kwa kusema kwamba huyu ni mwenyeji, aliekuja na ID mpya.

Lol....no,mm ni mtundu tu, hakuna app ntayofugua ikanishinda kutumia, and the main reason i join here was to post my business but naona kila nikijaribu kupost inafutwa in seconds, I don’t know why. But anyways I’m enjoying this app so far and the attention I’m getting somebody says power of the skirt!
 
Mkuu unatibua madili ya watu utapigwa risasi au urogwe ufe oooh😅🤦🤪🏃
 
Na kwajinsi anavyo tiririka, quotes, reply, kuifahamu avatar, kulifahumu jukwaa la mmu, kuifahamu pm na mambo zingine kama hizo...
Nalazimika kujiridhisha kwa kusema kwamba huyu ni mwenyeji, aliekuja na ID mpya.
Atajijua mwenyewe Japo pia anaweza kuwa mgeni
 
Lol....no,mm ni mtundu tu, hakuna app ntayofugua ikanishinda kutumia, and the main reason i join here was to post my business but naona kila nikijaribu kupost inafutwa in seconds, I don’t know why. But anyways I’m enjoying this app so far and the attention I’m getting somebody says power of the skirt!
ur quoting me
I'm new also but also naughty as you...
I have started many threads for few days as a newcomer mpaka wamenichoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom