Mimi ni mgeni naomba mnipokee pia naomba support yenu
Hahaha hujalipia anyways ila sio shida karibu jitahidi uanze kulipwa kama sisiSio kweli hii forum hamna entrance fees
Sio mimi sisi tulioandikiwa jf expert member, platinum member nk tunalipwa🤪 kwa mweziWewe unalipwa?
Sio mimi sisi tulioandikiwa jf expert member, platinum member nk tunalipwa🤪 kwa mwezi
Karibu sana jamvini.
We pambana ufikishe vigezo 🤓Ww unaelipwa unalipwa sh ngapi
Imeijuaje Jamiii forum, na kwa nini umeamua kujiunga nayo??Female
Wewe jama kweli econometrician hahahaImeijuaje Jamiii forum, na kwa nini umeamua kujiunga nayo??