Alaf kuna watu huko mtaani wanadanganyana eti kujiunga JF mpaka kiingilio cha 30K sijui hili limekaaje.Mods n vema mkaweka ABC(s) za jins ya kujiunga kwa uwaz maana wapo Guests wengi ila husta kujiunga kwa sabab kama hizo. Japo siyo vizur sana jukwaa hili likivamiwa na watu wenye u-facebook!!