Utamudu hizo gharama?Mruhusu sasa na vile vigari vinavyoendeshwa na umeme! Vinaitwa cable nini sijui! ili na sisi wengine tuje kutalii kwenye huo Mlima. Mambo ya kulazimishana kupanda kwa miguu hayakubaliki hata kidogo.
Nyakati fulani Waziri wa Utalii wa wakati huo Mh. Hamis Kigwangala alikuja na wazo la hivyo vigari vya angani, mlimpinga mwanzo mwisho! Kwa kisingizio eti wapagazi watakosa ajira, kana kwamba hakuna kazi myingine wanayo imudu katika maidha yao, isipokuwa hiyo tu ya kubebba mizigo ya Wazungu.
Ndiyo unatakiwa utaje sasa hizo gharama, na pia hayo madhara ya kutumia huo mfumo. Kumbuka hii ni jamii forumsUtamudu hizo gharama?
Unajua madhara yake kwa nchi wanazotumia huo mfumo?
Madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, maana unatoka low elevation kwenda high elevation within a short time. Hivyo mwili utashindwa ku adapt mazingira ya kileleni hata kama utarejea starting point kwenye low elevationsNdiyo unatakiwa utaje sasa hizo gharama, na pia hayo madhara ya kutumia huo mfumo. Kumbuka hii ni jamii forums
Adventure sio kufika Kilele cha Mlima Kilimanjaro kwa Helcopter,Ally Juma Makoa ...... “sasa tunaweza kupanda mlima kwa urahisi.”
Yamewapeleka kupiga pichaSasa kiwanja cha helicopter mbona naona mavieiteee