Helicopter zinasafirisha nini muda huu Dar?

Helicopter zinasafirisha nini muda huu Dar?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,652
Reaction score
5,134
Habari wanabodi,

Kwa kweli toka jana ni fujo angani helicopter kila muda kwa anaejua atujuze je zina nini ndani yake?
 
Wanawasaka wana mapinduzi yanayoanza kesho!!!
 
Naona zinazuia post na comments kwenye mitandao
 
Kuna kipindi nikiwa dar niliona msafara wa ndege kubwa zipo kama boing kama 10 hivi zina rangi kama ya kijivu kama za jeshi ila naamini zitakuwa za jeshi ila siyo la Tanzania! nilitaman kujua zimebeba nini
 
Nimesikia kuna helicopter imeanguka huko gongo la mboto na majeruhi wamepelekwa hospitali ya temeke.
 
Itakuwa zimebeba askari, silaha na Bashite wao wakitafuta kituo kingine wakivamie!!!
 
Kuna tetesi Wanyarwanda wanataka kuleta yale mambo yao ya 90s.


Ndukiiiii
 
Back
Top Bottom