Asante mkuu,mods watarekebisha ila naamini ujumbe umefika inavyotakikana!!!
unakinga kichwa???? vipi miguu, mikono na viungo vingine???? helmet yenyewe ndo hiyo???yani hua wanalazimishwa wakati usalama ni kwa ajili yao!!!!
Tatizo hakuna anaesikia,ni sawa na driver anapovaa safety belt pale tu anapomwona askari hawajui kama ni kwa usalama wao.mkuu kingine kumbuka mkono au mguu ukivunjika unaweza kutibika ila fuvu la kichwa ni 98/2%.unakinga kichwa???? vipi miguu, mikono na viungo vingine???? helmet yenyewe ndo hiyo???
Sawa mkuu Lakini asilimia kubwa ya hizo helmet hazina ubora na pia hawazingaatii usafi.. Sasa jumlisha ikutane na mawigs ya baadhi ya hawa dada zetu mjumuiko wake hapo ndo utajua kama Dunia inazidi kuwa jangwa!!!Tatizo hakuna anaesikia,ni sawa na driver anapovaa safety belt pale tu anapomwona askari hawajui kama ni kwa usalama wao.mkuu kingine kumbuka mkono au mguu ukivunjika unaweza kutibika ila fuvu la kichwa ni 98/2%.
Ohooooo!!?Siku akipiga Bichwa chini ndio ataona faina ya hayo manyuzi alofunga kichwani