Hela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hela

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kitia, Jul 25, 2009.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Leo nimekumbuka pesa tulizokuwa tunatumia tulipokuwa watoto wadogo, sisi tulikuwa tunaita hela. Kwa mfano:

  Hela tano (senti kumi) uliweza kununua andazi moja au pipi gololi sita.
  Hela kumi (senti ishirini)
  Hela kumi na tano (senti thelathini)
  Hela ishirini (senti arobaini)
  Robo ya sumuni (senti ishirini na tano) etc etc...
   
Loading...