Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,293
- 283,239
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Kigoma , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amewaeleza wakazi wa Kigoma kwamba huu mpango wa ccm kuorodhesha kaya masikini ili kuzipatia Pesa za Tasaf , kwa kutumia kadi za chama cha mapinduzi ni wizi kama wizi mwingine na ni kinyume cha sheria .
Amesema hela za Tasaf ni mkopo ambao serikali inapewa ili kusaidia wasiojiweza , wala siyo chambo cha kuvutia masikini ili wajiunge na ccm , maana mkopo huu utalipwa na nchi yetu , wala hautalipwa na ccm .
======
Mytake
Ndio maana Twaweza walikuja na utafiti huu miaka ya nyuma , kwa vile wazee wengi na masikini wa vijijini wanaamini kwamba bila kadi ya ccm hupewi hela za Tasaf
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app