Hela za matunzo ya mtoto wanakula na mwanaume mwingine

mkuu wewe unaweza lipia nyumba akae mwanaume mwenzio? any way ngoja niingie huko nione
 
Mchukue Mwanao kaishi nae mwenyewe

Huyo mwanamke si mstaarabu kabisa
Aliemzalisha mwanamke asiye mstaarabu ndiye si mstaarabu.
Kumchukua mtoto siyo suluhisho, unadhani hata akimchukua huyo mtoto atakua anajisikiaje kwa maisha anayoishi mama yake!? Litakua jeraha sana na huenda ikamharibu kisaikolojia.
 
chukua huyo mtoto tupa bording kule mbeya aendelee kula sembe likizo sio ndefu atakaa kwako hata akiteswa cku mbili sio mbaya xn vinginevyo huyo mtoto atajifunza tabia chafu,cku zote ustawi wa jamii huwa upande wa beijing huwa hawamsadii mwanaume
 
Tafuta sehemu nzuri ya kumpeleka mtoto nashauri kama wazazi wako wapo sehemu nzuri ambayo mtoto anaweza kupata huduma zote mpeleke huko au kwa dada yako au hata kwa shangazi yako ila hakikisha hao watu wana upendo wa kweli na huyo mwanao, baada ya hapo rudisha nyumba kwa mwenyewe.
 
M kukaa kwa mwanamke siwez lkn hilo jamaa limeka kwa dem thn matumiz from mwanaume mwingine.
 
umeandika kwa chuki sana na kumuita mwenzio jitu! ulitaka mwenzio aishije kama umeenda nje kama maalimu seif??

kwa ulivyoandika napata wasiwasi hutoi hela zote ulizoandika hapo kilichokuuma kawa na mtu huwezi kukumbushia.
 
mtoto amefika miaka saba kwa hiyo anaweza kumchukua , kabla ya hapo isingewekana kwa kuwa umri ulikuwa hauruhusu kufanya hivyo
 
huyu dada anataka kumgeuza mtoto kitega uchumi, hao ustawi hawana maana
 
mkuu wewe unaweza lipia nyumba akae mwanaume mwenzio? any way ngoja niingie huko nione
mimi nilihoji suluhisho lako kuwa mama anyang'anywe mtoto kwa sababu tu anakaa na mwanaume kwenye nyumba inayolipiwa na baba mtoto. suluhisho si kumnyang'anya mama mtoto bali kukubaliana juu ya gharama za nyumba na chakula. ukiingia ndo utajua inaumaje kunyang'anywa mtoto uliyemlea mwenyewe toka umemzaa kwa sababu tu umepata mwanaume mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…