Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
Source: twitter-millard hayo
Mpesa et al ni nzuri kwa kutumiana hela ndogo ndogo ambazo hazizidi laki maana bado suala la security ni dogo sana! Hela nyingi kama hzo better use bankMaybe hakuna sababu ya kutumia m-pesa and the like. CRDB mobile banking inahusika na airtel money na mpesa, better wachangiaji waweke kwenye account. I never use hizo service za simu!
Nijuavyo mimi ili uhamishe fedha katika akaunti ya M-Pesa au yoyote ingine pamoja na mambo mengine,lazima mambo ya msingi mawili yawepo, na rekodi yake inapatikana mteja akiitaka.Jamani mbona hiki ni kichekesho! Ina maana hii mitandao hawana record za electronic money transfer? Mbona tukituma hela kwa M-Pesa tunapewa jina la mpokeaji na reference number. Kama hizi data hazipatikani, it means THIS IS AN INSIDE JOB! Namaanisha wafanyakazi wa mtandao husika.
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
Source: twitter-millard hayo
Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!
Jipange dada/kaka.
Maumivu mengine kwa Mkewe
Bank kwenyewe nako ukizubaa wanakwapua kama kawa.Ndio mjifunze faida za kuwa account bank
Kuishtaki itakuwa ngumu kwasbb hakuna mkataba wowote unahusu transaction za hela kati ya mtumiaji wa simu na kampuni kama ilivyo wakati wa kufungua bank account!inahtajika kampuni husika ilipe hzo pesa kulinda heshma. kwan inaonyesha haina security. sajuk na mjewe wanatakiwa waishtaki kampun husika
Maybe hakuna sababu ya kutumia m-pesa and the like. CRDB mobile banking inahusika na airtel money na mpesa, better wachangiaji waweke kwenye account. I never use hizo service za simu!
Ninaku'suspect.Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!
Jipange dada/kaka.
Ndio mjifunze faida za kuwa account bank
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu.
Ndio mjifunze faida za kuwa account bank
Hii CHANGAMOTO mpya kwa watu wa Tume ya mawasiliano yaani TCRA. Wafanyie kazi mambo haya ambayo sanasana ni matokeo ya kukua kwa technology. Ukweli ni kuwa watu wengi sana wanatumia hizi huduma za MPESA, TIGO PESA na nyinginezo. Wananchi tunapaswa kuhakikishiwa usalama wa mali zetu maana kuna watu wengine wanatunza huko hela zao. Huko vijijini watu wanatunza hela nyingi sana. Tusaidieni jamani.