Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Hii CHANGAMOTO mpya kwa watu wa Tume ya mawasiliano yaani TCRA. Wafanyie kazi mambo haya ambayo sanasana ni matokeo ya kukua kwa technology. Ukweli ni kuwa watu wengi sana wanatumia hizi huduma za MPESA, TIGO PESA na nyinginezo. Wananchi tunapaswa kuhakikishiwa usalama wa mali zetu maana kuna watu wengine wanatunza huko hela zao. Huko vijijini watu wanatunza hela nyingi sana. Tusaidieni jamani.