Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account yake ya pesa kwenye simu Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!
Jipange dada/kaka.
Hili mbona ni rahisi sana kujua hela zimeenda wapi? waende tigo pesa au kama ni M-pesa waende huko na kuomba kupata trasfer record.
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
Source: twitter-millard hayo