Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 326
- 627
Ndio hivo bhan
italy wanatumia Euro mkuuHela ya Zimbabwe inaizidi hata ya Itally
Wanasema ni ngumu.Maisha yakoje huko??
Bei za bidhaa ziko vipi na huo upatikanaji wa hiyi 10k ukoje??
Isijekua huo ndo mshahara wa mtumishi!!?
Basi si ya kuitamania hiyo, nikajua ni fursa hiyo.Wanasema ni ngumu.