Hela ya Uturuki yashuka thamani

Endorgan kweli in kichaa yule MTU.
Ila beef na marekani lilianza baada ya end organ kugundua marekani walipanga mapinduzi ya kijeshi kumwondoa endorgan.
Gullen yule hata bila kuuliza ni asset ya wa marekani.
Kuhusu huyo askofu,in CIA agent,alitumwa uturuki kukusanya intelligence,
Hata Leo huko twitter kulikuwa kuna picha zikimuonyesha akikutana na wapiganaji wa kikurdi YPG,Sena sikuzisave ningekuekea hapa
 
Jamaa ana jeuri sana, siku moja ametambelea marekani na waturuki wasiompenda waishio US wakaandamana. akaamrisha walinzi wake wawapige hao waandamanaji...
Yah Nakumbuka Marekani Ilikasirika sana na kura ilipigwa Walinzi hao wakamatwe washitakiwe..

Umesikia leo kapiga marufuku Bidhaa za electronic za Makerkani zisiuzwe Uturuki pamoja na Matangazo ya Bidhaa kwenye Ndege pia... anachokitafuta atakipata... Ngoja azimiwe Internet aonje joto
 
Nilicheki hiyo video,mabodyguard wa kituruki walitembeza kichapo cha hatari ndani ya new York.
Hawa waturuki sijui wanajiamini mini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…