Hela ya Uturuki yashuka thamani

Waturuki ni sawa na Wanaigeria huko Ulaya na Asia... full utaperi... wakifuatiwa na baba lao Iran....

Edogan Ni Mpumbavu sana yaani kama Bblia iliandika kuwa Wagalatia(ambao ndio asili Waturuki) ni wapumbavu ilipatia haswa na huyu Peridaa wao ni typical Garatia... Jitu la Visasi visivyo na akili.. Yaani kama ingekuwa Tanzania Watu elfu kumi wakiandamana basi unakamata wote unawafunga jela... badala ya kudeal na viongozi wahamasishaji pekee... anatesa sana raia wake mpenda sifa huyo... Yaani alikuja Tanzania akashurutisha Shule za Feza zifungwe zote Tanzania kisa mwenye Shule ni Mpinzani wake Hongera Tanzania kwa kumpuuza.. Ugombane nae wewe kisha umgombanishe na wengine... good sana kumpuuza... Marekani alimuambia wewe Garatia lete ushahidi mwishowe akakosa lakini bado anang'ang'ania Fetullah arejeshwe Uturuki amkamue... hasira zake akamkamata pastor wa Kimarekani masikini zake akamtia lupango sasa Marekani kamuambia amuache huru au akichezee kichapo ambacho hata raia wa Uturuki watamchoka juzi kajiapisha eti yeye hana Dollar ila ana Allah... Mie nimekaa Pembeni natizama Game tuliona Majeuri kina Gadafi mwishowe walikichezea cha aibu... ewe Garatia kwanini mu wapumbavu...
 
Hii sisi tunacheza na lot ndogo tu maana exotic pairs zinakimbia balaa
 
Acha mahaba mkuu ukaifananishe nchi iliyopo EU na Libya, uchambuzi wako umekaa kiyahudi yahudi tu, kufurahi wenzio wakiumizwa, mbona hamsemi watu wanavyoumia na kufa middle East kwa ubabe na jeuri ya Marekani, mnayaona ya Edorgan tu ya Marekani hamyaoni....Marekani tatizo lake kubwa maslahi full stop....
 
Mkuu umeniquote ila sijaona ulichochangia zaidi umehamisha Mada tu... please ukiniquote tena Stick to the hoja nikujibu... la sivyo nitaonekana na mimi ni Mpumbavu kama Garatia Edorgan
 
Kisha anakuja Tanzania kuturingishia hahaha alikuwa anajifanya anajua kumbe anaungua jua
Kama mkataba wa SGR ulikuwa kwa lira nayo imeshuka thamani by 40% basi tunahitaji 40% more kulipia mkopo na riba ya deni
 
Kama mkataba wa SGR ulikuwa kwa lira nayo imeshuka thamani by 40% basi tunahitaji 40% more kulipia mkopo na riba ya deni
Hamjui Baba majibu yake kwani eenh ataambiwa CCM haikusababisha uchumi wa Uturuki uyumbe au Tanzania haikuunga mkono Pastor afungwe kwa kusingizwa alitaka kuipindua Serikali ya edorgan kisa kuna waumini wake wanafahamiana na jamaa za Futullah...
Edorgan alipokuwa anawafunga wapinzani,Manesi,Waandishi wa Habari waliokuwa wanamuandika vibaya mwanya wa jaribio la kumpindua akatumia nafasi hiyo kuwatesa na kuwaweka jela kwa muda mrefu walisikitika sana na kumlaani kwa Allah sasa laana zimempata na anazidi kuwa jeuri huku akidai nae ana Allah yule yule anayeliliwa na watu aliowatia jela... kazi ipo.

i see Deni tutakalolipa ni lile lile babangu sitaki mche-mcheso kweli
 
Kweli ipi? Wewe unanunua au unalipa mtu anayehitaji Dola au lira 10,, halafu unaambiwa imeshuka thamani by 40% anafikiri atakuuzia kwa lira 10 au lira 14, kaanze shule vidudu jomba
Kama foreign currency ime depreciate... When you have payable you will pay less or if you have receivable you will receive less in your local currency... Kama hujui kitu kaa kimya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…