Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,284
- 30,158
Kwani yaliwahi kusitishwa?Kwa hiyo malipo ya DOWANS bado yanaingia kwenye akaunti ya Lowassa?
Watanzania ni wavivu sana kufikiri.Hhm! Ni Raisi huyu huyu aliyetoa maneno matamu matamu na ahadi lukuki wakati wa kampeni, huyu huyu ndiyo aseme kitu nimuamini?
With all due respect, i beg to differ.
Mitambo ya Richmond ndo ya Symbion sasa hivi kwa hiyo hapo analipwa nani? Na kwanini alipwe kama ni ufisadi kwanini tusiache kumlipa?Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.
Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.
Watanzania ni wavivu sana kufikiri.
Walioingiza RICHMOND nani na wakaiingiza Dowans kuchukua mikoba nani?
Nyuma ya pazia utawakuta mafisadi wamejipanga, kundi la akina R...., na ndio vinara wa kutoa pesa kupitia mgombea wa Ukawa toka akiwa CCM.
CCM walipomkata Lowassa , walilikata kundi zima la mafisadi.
Kwa hiyo malipo ya DOWANS bado yanaingia kwenye akaunti ya Lowassa?
Siyo siri sasa kuwa kitendawili cha RICHMOND hakijateguliwa.
Ile heka ya RICHMOND ambayo ilihamishiwa DOWANS , katika uchunguzi ilisemejana kuna Tsh milioni 153 zinalipwa KILA SIKU kwa wanufaika.
Tumesikia juzi JK akisema aliyelibeba furushi la RICHMOND ni yule aliyehamia UKAWA.
Na mimi ningepata milioni 153 kwa kweli ninge kinunua chama kinachonunulika.
Naona Richmond imetibua vibaya sana saikolojia ya taifa. Hata tuliowapa dhamana kubwa katika mustakabali wa taifa wameishia kupayuka ovyo na kumwaga mipasho, vijembe na kila aina ya usanii badala ya kutimiza wajibu wao.
Kwa mtindo huu ni heri yule "mhusika mwenyewe" aingie ikulu akalifunge jalada hilo na kuwadhibiti "wenzake" wanaoendelea kujikanyagakanyaga kama kaa waliokosa dira kuhusu hoja nzima ya ufisadi.
Richimond Dowwans hazipo tena
Acheni kumchafua Rais Mtarajiwa
Lowasssa
Kuna Symbion Na Obama alikuja kuizindua
akaisifia mitambo ile
Mitambo ya Richmond ndo ya Symbion sasa hivi kwa hiyo hapo analipwa nani? Na kwanini alipwe kama ni ufisadi kwanini tusiache kumlipa?