Hela ya mwekezaji Simba itarudi kwa kuuza mechi Yanga, Azam

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,111
2,000
Biashara gani ipo Simba yenye mashabiki kidogo sana Tanzania kuliko Yanga itakayoweza kurudisha fedha za muwekezaji zaidi ya kupanga matokeo ya mechi za Simba ndani na nje ya nchi?

Kamali inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato ya muwekezaji wa Simba.

Tusishangilie sana kwa sasa ni mapema mno.
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,895

Leo wameaminishwa wao ndiyo wengi. Kweli mjini shule
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,111
2,000
Inakuhusu nini wewe mpaka uhoji? Wakati timu inatembeza bakuli nyakati za njaa, uliwahi kuchangia senti ngapi? Mabadiliko ni ya Simba, yanga unapiga kelele kwa uhalali upi hasa?! Rekebisheni nyumba yenu huku hakuwahusu!
Tuna tahadharisha tu, raha ya Yanga shurti kuwe na Simba.
 
mpenda arage

JF-Expert Member
Nov 10, 2015
1,385
2,000
Tuna tahadharisha tu, raha ya Yanga shurti kuwe na Simba.
Kwahiyo Mkuu wewe pekee ndio umeliona hili kuliko vichwa vyote vilivyoshiriki kwenye huu mchakato?! Hii tahadhari kila mtu iko kichwani mwake, tena hadi serikali. Ndio maana ikatunga kanuni haraka haraka Nov 27 mwaka huu za kuruhusu kuuzwa kwa hisa ya 49% ili kuvilinda vilab vyote vitakavyoingia kwenye huu mfumo. Kwahiyo we endelea tu kufuatilia matibabu ya kamusoko huku kuna wahusika wanasimamia.
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,111
2,000
Yule aliekuwa anaandaa orodha ya mashabiki wa hovyo amjumuishe na huyu.
Mahaba tu hayo, kwa skili yako ni biashara gani ndani ya Simba inayoweza kugharamia yale yote aliyoyaahidi MO Simba? Mashiki wangapi Simba wanaweza Kununua jezi original ya Simba? Viingilio uwanjani washabiki wanasubiri mechi ya Simba na Yanga tu, kwa mechi nyingine wanaangalia kwenye luninga.
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,111
2,000
Kwahiyo Mkuu wewe pekee ndio umeliona hili kuliko vichwa vyote vilivyoshiriki kwenye huu mchakato?! Hii tahadhari kila mtu iko kichwani mwake, tena hadi serikali. Ndio maana ikatunga kanuni haraka haraka Nov 27 mwaka huu za kuruhusu kuuzwa kwa hisa ya 49% ili kuvilinda vilab vyote vitakavyoingia kwenye huu mfumo. Kwahiyo we endelea tu kufuatilia matibabu ya kamusoko huku kuna wahusika wanasimamia.
Vichwa vyote hivyo inawezekana hawakuliona hill, mtindo wa kuuza mechi na kamali ilikuwa ukitumiwa na akina Gulamali na Dewji
 
255Gene

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
882
1,000
Sisi tunataka mabadiliko mambo ya mfadhili atanufaikaje nyinyi haiwauhusu endeleeni na bakuli lenu..
 
engine rock

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,199
2,000
Biashara gani ipo Simba yenye mashabiki kidogo sana Tanzania kuliko Yanga itakayoweza kurudisha fedha za muwekezaji zaidi ya kupanga matokeo ya mechi za Simba ndani na nje ya nchi?

Kamali inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato ya muwekezaji wa Simba.

Tusishangilie sana kwa sasa ni mapema mno.
Ukitaka kufanya usafi ,unaanzia ulipo simama...
 
engine rock

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,199
2,000
Mahaba tu hayo, kwa skili yako ni biashara gani ndani ya Simba inayoweza kugharamia yale yote aliyoyaahidi MO Simba? Mashiki wangapi Simba wanaweza Kununua jezi original ya Simba? Viingilio uwanjani washabiki wanasubiri mechi ya Simba na Yanga tu, kwa mechi nyingine wanaangalia kwenye luninga.
Hili ulitakiwa kumuuliza manji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom