Hela Tamu ila Mwanaharamu

Hela Tamu ila Mwanaharamu

Onyix

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
682
Reaction score
793
Kuna jamaa angu yupo nchi flan hv nilikua napiga nae story kwenye mtandao..

"Najua labda anaweza akawa humu jukwaani" Jamaa ni msomi msomi sasa amepata Issue kwa upande wake anasema ni 'Dili'.. Dili lenyewe lipo hivi..

Jamaa amekutana na watu huko nchi zenye baridi kali mpaka barafu inaanguka kama upo kwenye Freezer.

Sasa dili lenyewe ni kwamba achague part ya nje Kiungo chake cha mwili jamaa waifanyie utafiti wa kisayansi wa magonjwa na wamehaidi wanampa hela ndefuuuuuu

Ile akubali dili wazungu huwa hawafichi kitu.. Wamempa makaratasi ya kusoma ili awe aware na issue ilivyo yani Mwanzo mwisho.. Ila in short ni kwamba atapandikiziwa kitu kwenye ngozi hicho kitu kita vimba kama "JIPU" dogo tu kama Inch 1 au CM 2 hivi then watalitibu kwa kuiweka hyo dawa ambayo itakua tested sasa kwenye hilo dude mfano wa "JIPU" then wataona reactions both positive and Negative.. Lastly watalitumbua in Magufuri's voice

SWALI SASA
ANAULIZA NI SEHEMU GANI YA MWILI ANAWEZA KUFANYA HUO UPUUZI ILI APATE HELA YA KUJA KUENDELEZA NCHI YA VIWANDA KWA PESA NA JIPU.. SWALI HILO WAKUU

Procedures zote zimefuatwa kwaiyo msilete mambo yenu ya kisheria humu.. Hapo ni Jibu Tu.
 
Wasipoweza kutibia itakuwaje?

Anyways ajitoe mhanga kwa ajili ya familia yake
 
Anatumia mashoto aliweke mkono wa kulia kama hatumii mashoto aliweke mkono wa kushoto!..Easy!
 
Kumbe ameshafanya maamuzi, ila anataka ushauri wa sehemu gani ya mwili issue ifanyike! Tumekupata.

Ili tukushauri vizuri, tunaomba utujuze wamemweleza kitu gani kitatokea in worst case scenario kama mambo yakienda mrama. Hili ni lazima watakuwa wameliainisha kwenye draft paper zao. Na mara nyingi lazima watakuwa wameanzia hiyo test kwa wanyama ndiyo binadamu afanyiwe.

Lakini pia apime risks versus benefits japo ameshaamua.
 
Aliweke kwenye tako mana likizingua anakatwa kipande cha tako shuhul imeisha ama

Aliweke mguu wa kushoto likizingua akatwe mguu fresh tu ila si mikonon mana mguu wa kulia ataendesha gar fresh na mikon atampapasia nayo wife
 
Kuna jamaa angu yupo nchi flan hv nilikua napiga nae story kwenye mtandao..

"Najua labda anaweza akawa humu jukwaani" Jamaa ni msomi msomi sasa amepata Issue kwa upande wake anasema ni 'Dili'.. Dili lenyewe lipo hivi..

Jamaa amekutana na watu huko nchi zenye baridi kali mpaka barafu inaanguka kama upo kwenye Freezer.

Sasa dili lenyewe ni kwamba achague part ya nje Kiungo chake cha mwili jamaa waifanyie utafiti wa kisayansi wa magonjwa na wamehaidi wanampa hela ndefuuuuuu

Ile akubali dili wazungu huwa hawafichi kitu.. Wamempa makaratasi ya kusoma ili awe aware na issue ilivyo yani Mwanzo mwisho.. Ila in short ni kwamba atapandikiziwa kitu kwenye ngozi hicho kitu kita vimba kama "JIPU" dogo tu kama Inch 1 au CM 2 hivi then watalitibu kwa kuiweka hyo dawa ambayo itakua tested sasa kwenye hilo dude mfano wa "JIPU" then wataona reactions both positive and Negative.. Lastly watalitumbua in Magufuri's voice

SWALI SASA
ANAULIZA NI SEHEMU GANI YA MWILI ANAWEZA KUFANYA HUO UPUUZI ILI APATE HELA YA KUJA KUENDELEZA NCHI YA VIWANDA KWA PESA NA JIPU.. SWALI HILO WAKUU

Procedures zote zimefuatwa kwaiyo msilete mambo yenu ya kisheria humu.. Hapo ni Jibu Tu.
Aweke kwenye zakari
 
Kumbe ameshafanya maamuzi, ila anataka ushauri wa sehemu gani ya mwili issue ifanyike! Tumekupata.

Ili tukushauri vizuri, tunaomba utujuze wamemweleza kitu gani kitatokea in worst case scenario kama mambo yakienda mrama. Hili ni lazima watakuwa wameliainisha kwenye draft paper zao. Na mara nyingi lazima watakuwa wameanzia hiyo test kwa wanyama ndiyo binadamu afanyiwe.

Lakini pia apime risks versus benefits japo ameshaamua.
Kwa wanyama iliprove ++ sasa kwa binadamu ndo yeye wa kwanza
 
Duuh kweli pesa mwanaharamu achague yeye mwenyewe Mimi sijui
 
Kwa wanyama iliprove ++ sasa kwa binadamu ndo yeye wa kwanza
++ ina risks na benefits.

Tupe risks ambazo wanyama walipata. Lakini pia ngozi nyeusi na nyeupe zina utofauti wa kupata magonjwa. Mmoja anapata magonjwa haraka zaidi na mwingine hapati kirahisi.

Sent from my HUAWEI G6-U10 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie awekwe kwenye M.b.o.o ili ikizingua awe shoga watu tumle tu si ana tamaa za kisenge
 
Back
Top Bottom