Hela pekee niliyowahi kuokota maishani

Hela pekee niliyowahi kuokota maishani

Duh nakumbuka mimi na rafiki yangu tulipigana sana kwa hela ya kuokota. Utoto matata sana [emoji111]



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Heshima yako mkuu wang, wewe ni babu yangu lazima nikutanie mzee wng
Pamputi,
Kwako wewe mimi ni umri wa baba yako siwezi kuwa babu yako.
Mjukuu wangu ana miaka 3.

Ukipenda niite baba.

Unaweza ukanitania tu kwani maskhara baina ya watu ni dalili ya
mapenzi na kushibana.
 
Pamputi,
Kwako wewe mimi ni umri wa baba yako siwezi kuwa babu yako.
Mjukuu wangu ana miaka 3.

Ukipenda niite baba.

Unaweza ukanitania tu kwani maskhara baina ya watu ni dalili ya
mapenzi na kushibana.
sawa sawa mzee wangu ,mwanahistoria wetu..
 
Nilikuwa kila Ijumaa asubuhi nakwenda makaburini kuokota pesa zilizoweka na wajinga kwenye makaburi ya marehemu wao...ni kiasi cha kuridhisha.
 
Back
Top Bottom