Hela pekee niliyowahi kuokota maishani

Hela pekee niliyowahi kuokota maishani

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
Halafu nikaenda kumpa baba aniwekee. Tulivyokuwa mazoba watoto wa zamani
b04188d4265dcda8a144ec20de9e7e3a.jpg
 
Hhahaaa umenikumbusha zaman ukipata ela unampa mzaz anakuwekea ukimdai anakwesabia matumiz

nataka uwaziri wa nishati na madini
 
Subiri waje.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Mm na mwenzangu tuliokota shilingi mia mbili ya Note ile ya Samaki warefu ikabidi tuigawane .....tulichokifanya tukaichana katikati na mm nikasepa na kichwa ... baadae wazazi waakaanza kutafutana waiunganishee ..hatimae walifanikiwa siku hiyo Nilikula Nyama Nono haswaa

Fursa2017
 
Kizazi cha Tecno wereva hata sielewi hapa.
Nishazoea msimbazi na blue blue
 
Back
Top Bottom