Heko za Sikukuu 🎄 kwa Wadada na Wamama....

Heko za Sikukuu 🎄 kwa Wadada na Wamama....

Asante sana, kwa wote tulionhia jikoni.

Nami nimepika pilau na kitimoto safi kabisaa.

Heko kwako mwanadada...

Mwanamke mapishi...

Ya tumbo halafu yanafata mapishi ya kiuno I....😅🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Nmeona baada ya kuonjeshwa zile chocolate kipindi umetokea kuzipenda 😊😊 unazifata mwenyewe

🤣🤣🤣🤣🤣

Acha hizoooo

Kinywaji kinagoma kupanda kwenye uzi, ngoja nijaribu tena...

DEA68A45-D781-497A-A940-6A9880CC11EE.jpeg


Kuyaa na bilauri...🥂🥂
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Huyu ndo mwenyewe sasa , baadae lazma upandishe uzi mwingine baada ya kushibishwaaaaaaa

Najizuia sana siku hizi ...😅😅😅
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Haiwezekqni napinga....ushafanyiwaaa vizuri na vinono mbona keyboard itaongeaaa.,just wait

Aahahahahahhaaaa

Sikubishii wala sikubaliani na wewe....
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom